AHMED ALLY – SIMBA vs YANGA ”TUTAWAFANYA VIBAYA MNOOO, TUMEDHAMIRIA KUWAKAANGA” – VIDEO

Afisa habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally mefunguka na kueleza kuwa mchezo wa dabi ya Kariakoo wanakwenda kushinda.

“Jumamosi Yanga tutawapiga mapigo matatu makubwa ‘Tripple frontier’, hapa namaanisha tutaanza kuwalegeza na Pumzi ya moto, halafu tutawakaanga na kumalizia na Ubaya ubwela” alisema Ahmed Ally.