AZIZ KI, CLATOUS CHAMA, MZIZE, KUTOBOA YANGA UJIPANGE

NDANI ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi mastaa wake ikiwa ni Aziz Ki, Clatous Chama, Sure Boy kutusua katika kikosi cha kwanza ukizingua hakuna uhakika wa kuendelea mchezo unaofuata kutokana na kila mchezaji kuwa na nafasi ya kucheza mchezo wa ushindani kitaifa ama kimataifa.