HAPA HAALAND PALE RASHFORD MOTO UTAWAKA

Leo kitapigwa kipute kikali kati ya Manchester City dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ngao ya hisani, Mchezo huu ndo utafungua njia ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2024/25.

 

Manchester City leo watashuka dimbani wakiwa wanapewa nafasi zaidi ya kushinda mchezo wa leo kutokana na ubora wa kikosi chao, Lakini Manchester United licha ya kutokua kwenye ubora mkubwa ila waliifunga City mchezo wa mwisho walipokutana.

 

Mchezo huu unatafsiriwa kama mchezo wa kisasi kwasababu Manchester City walipoteza mchezo wa mwisho wa fainali ya kombe la Fa mbele ya Man United, Hivo vijana hao wa kocha Pep Guardiola watahitaji kulipiza kisasi leo dhidi ya mahasimu wao.

 

Bashiri michezo mbalimbali ambayo imepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet wikiendi hii Bila kusahau kucheza michezo ya Kasino uibuke mshinde wa Mamilioni

 

Manchester Derby leo imefanikiwa kupewa Odds nzuri pale Meridianbet kwani Man United wamepewa Odds bomba halikadhalika Man City, Hii inakupa fursa wewe mteja wa kushinda maokoto ukiweka jamvi lako kupitia mchezo huu.

 

Ikumbukwe mchezo wa mwisho wa Ngao ya hisani vilabu hivo vilipokutana ilikua mwaka 2011, Ambapo Man United ilifanikiwa kushinda kwa mabao matatu kwa moja hivo swali kubwa ni je City watakubali kuendeleza uteja mbele ya Man United?