UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kiungo Jonas Mkude bado yupo ndani ya kikosi hicho licha ya tetesi kueleza kuwa huenda atapewa Thank You. Tayari Mkude yupo kambini ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2024/25.
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura