MO ATOA TAMKO KUHUSU SIMBA, AKIRI – ”WACHEZAJI KIWANGO KIDOGO, TUACHE MIGOGORO” – VIDEO

Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji Juni 11, 2024 ametangaza kukubali kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba aridhia ombi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Salim Abdallah ‘Try again’ ambaye alitangaza kujiuzulu.

“Klabu yetu ipo kwenye kufanya usajili, Pre session, Simba Day, Ngao ya Jamii, niwaombe sana wana Simba wenzangu mtulie mtupe nafasi ya kujenga Simba mpya, yenye matarajio na mabadiliko ili kila mwanasimba atembee kifua mbele, wanasimba tunatakiwa kuwa kitu kimoja.”- MO Dewji