Meridianbet wanaendeleza ubabe wao, na leo nakuletea ile Promosheni pendwa ya kujichukulia Maokoto, Shindano la Expanse ambapo ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka EXPANSE utajiweka kwenye nafasi ya kushinda Mamilioni leo. Jisajili sasa kuwa moja ya washindi.
Shindano la Expanse Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino kwa washindi 40 pekee, ambao watakuwa na alama nyingi kushinda wachezaji wengine, ili kuwa mshindi na upate Mgao huu wa Mamilioni hakikisha unacheza mara nyingi Zaidi kwenye moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse.
MCHANGANUO WA ZAWADI.
Expanse Tournament inatoa mgao wa mamilioni kwa wachezaji wa kasino ya mtandaoni, kuna bonasi za kasino, mizunguko ya bure na beti za bure huku ukiondoka na kitita cha mamilioni, cheza michezo ya kasino kwa dau la kuanzia Tsh 400/= na Ushinde Tsh 4,750,000/=
KANUNI ZA KUWA MSHINDI
Promosheni hii imeanza 05.06. 2024, bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi watakaokuwa wanatangazwa kila siku, baada ya kucheza moja kati ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.
Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz
Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano kwa wachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni:
- Battle of Egypt
- Forest Rock
- Fortune Farm
- Lucky’s Betting Shop
- Maya’s Treasure
- Piggy Party
- Spinning Buddha
- Sticky 777
- The Book of Eskimo
- Veni Vidi Vici
- Wild Corrida
- Zombie Apocalypse
- Battle for the Throne
- Bounty Hunters
- Capital City Derby
- Casino Heist
- Fairy in Wonderland
- Odd One Out
- Planet Power
- Shaolin Crew
Kulingana na msimamo wa mwisho, wachezaji 40 watazawadiwa pesa taslimu na mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kama ifuatavyo:
- Nafasi ya Kwanza: 2,500,000 TZS Taslimu
- Nafasi ya Pili: 1,250,000 TZS Taslimu
- Nafasi ya Tatu: 500,000 TZS Taslimu
- Nafasi ya Nne: 250,000 TZS Taslimu
- Nafasi ya Tano: 250,000 TZS Taslimu
- Nafasi ya 6-10: Mizunguko ya bure -300 kwenye Slot ya PIA
- Nafasi ya 11-20: Mizunguko ya bure -200 kwenye Slot ya PIA
- Nafasi ya 21-30: Mizunguko ya bure- 100 kwenye Slot ya PIA
- Nafasi ya 31-40: Mizunguko ya bure -50 kwenye Slot ya PIA
Ushindi utakaotokana na Mizunguko ya bure utahitaji kuzungushwa mara 60x (kwa mfano, ukishinda TZS 10,000 kwenye Mizunguko ya bure, utahitaji kucheza TZS 600,000 kwenye mchezo uleule ili kuhamisha ushindi wako kwenye akaunti ya pesa halisi).
Taarifa kuhusu malipo ya juu kwa kila Kundi la Mizunguko ya bure, washindi watapokea taarifa ambayo itatumwa kwao si zaidi ya saa 13:00 AM tarehe 19.06.2024.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz