Si Rahisi Kukosa Pesa Ukibashiri na Meridianbet Mechi za EURO

Mbilinge mbilinge za michuano ya EURO zimepamba moto haswa ambapo timu karibia zote zimejiandaa kunyakua taji hili ambalo linaanza kupambaniwa Ijumaa hii. Nani kuchukua kombe hili?. Tengeneza jamvi lako na Meridianbet sasa.

 

TIMU ZINAZOPEWA NAFASI YA KUTWAA EURO 2024

Michuano ya EURO inatarajiwa kuanza Ijumaa hii hapa na ukiingia Meridianbet utakutana na “EURO 2024 SPECIAL” na hapo ndipo utaanza kubetia utackacho. Timu ambazo zinapigiwa sana upatu kuchukua Kombe hili au timu zenye nafasi kubwa ya kuondoka mabingwa ni pamoja na, Ufaransa ambao wamepewa ODDS 5.50, Uingereza 5.50, Ujerumani 7.00, Hispania 7.50, Ureno 8.00, Ubelgiji 9.00, Italia 10, Uholanzi 12, Croatia 25, na Denmark 25.

Hizo ni timu 10 ambazo Meridianbet wameona kuwa ndio zinazoweza kubeba taji hili lakini, timu mbili yani Ufaransa na Uingereza ndizo ambazo zenye ODDS za ushindi, hivyo kama na wewe unataka pesa yako suka mkeka wako na ubashiri na meridianbet sasa.

TIMU ZINAZOWEZA KUCHEZA FAINALI NA ODDS ZAKE

Pia ndani ya Meridianbet unaweza ukabashiri timu zako ambazo unaona zinaweza kucheza fainali ya EURO 2024. Uingereza VS Ujerumani hii imepewa ODDS ya 10, Ufaransa VS Ujerumani ina 13, Ufaransa VS Ureno 13, Uingereza VS Hispania 13, Uingereza VS Ufaransa 13, Uingereza VS Ureno 13, Ufaransa vs Hispania 15, Uingereza VS Uholanzi 20, Ufaransa VS Italia 25, Ujerumani VS Ubelgiji 25.

Ikumbukwe kuwa Italia ndiye bingwa mtetezi wa Kombe hili ambalo alilichukua mbele ya Uingereza baada ya kwenda sare dakika 120 na hatimaye bingwa akaamuliwa kwa mikwaju ya penati. Je msimu huu bingwa ataamuliwaje? Beti sasa.

Meridianbet wanakuthamini sana na sasa kuelekea EURO 2024 unaweza kubeti ODDS Spesho, vilevile kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa

ndani ya meridianbet kama vile Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

 

MSHINDI WA EURO 2024 ANA ODDS HIZI HAPA

Meridianbet haijaishia hapo tu, vilevile wamekuwekea na ODDS za timu ambazo zina nafasi ya kuchukua taji la EURO kulingana na ubora wa kikosi ambacho wanacho. Uingereza ilifika fainali EURO iliyopita chini ya South Gate na ndio wana nafasi kubwa wakiwa na ODDS 4.00, akifuatiwa na Ufaransa mwenye 5.00, Ujerumani ambaye ni mwenyeji ana 6.50, Ureno ana 9.00, Hispania ana ODDS 9.00 pia, Italia ana 15, Ubelgiji ana 16, Uholanzi ana 17, Denmark ana 40 na Croatia ana 40.

Je kwa kuangalia vikosi vya timu zao na ubora wao unadhani nani anaweza kuwa bingwa wa msimu huu?. Jisajili hapa.

TIMU ZITAKAZOFIKA ROBO FAINALI

Ndugu mteja wa Meridianbet unaweza kubashiri pia timu ambazo zinaweza kufika hatua ya Robo Fainali ambapo kama kawaida Uingereza ana ODDS 1.15, Ufaransa ana 1.15, Ujerumani 1.35, Hispania 1.55, Ureno 1.55, Ubelgiji 1.75, Italia 2.10, Uholanzi 2.30, Denmark 3.00 na Uswizi 3.20.

Hizo ndizo timu amabzo zina nafasi kubwa ya kutinga hatua ya robo fainali, hivyo weka dau lako na uchague timu yako unayoiona inaweza kufanya maajabu huku baadhi wa wachezaji wakubwa wakitaka kuunesha ukubwa wao kuanzia Ijumaa hii hapa.

TIMU ZITAKAZOFIKA NUSU FAINALI

Yani ukiwa na Meridianbet ushindwe wewe tuu, kwani hapa wanakwambia unaweza ukabashiri timu ambazo zinaweza kufika Nusu Fainali kwenye EURO na ODDS zao zimenyooka vilivyo.

Timu ya kwanza ni hapa ya Uingereza ambayo ina ODDS 1.50 ambazo ni sawa na za Ufaransa 1.50, Ujerumani 2.10, Hispania 2.50, Ureno 2.50, Italia 4.00, Ubelgiji 4.00, Uholanzi 4.50, Denmark 7.00, na mwisho ni Croatia mwenye 7.50. Wewe beti yako unaweka wapi hapa?.Tengeneza jamvi hapa.

Halikadhalika Meridianbet wanakwambia hivi kama unaona hayo yote ni machaguo magumu kwako, unaweza ukabetia timu inayoshinda EURO kutoka kwenye makundi, ambapo kuna kundi A mpaka F.

Mfano unaweza ukabeti kuwa unaona mechi kutoka Kundi A ambapo hapa kuna timu hizi hapa Ujerumani, Hungary, Scotland na Uswizi bingwa anaweza kutoka hapa. Na kundi hili limepewa ODDS 6.00. Kundi B limepewa ODDS 4.50, Kundi C limepewa ODDS 3.50, Kundi D limepewa ODDS 3.25, Kundi F limepewa ODDS 8.50. Na kundi ambalo halipewi nafasi timu zao kuchukua EURO ni kundi E ambalo lina timu kama Romani, Ukraine, Belgium na Slovakia. Suka jamvi hapa.

MSHINDI NA MCHEZAJI BORA WA EURO 2024

Unaweza kubeti pia machaguo mawili kwa wakati mmoja kwenye EURO ndani ya Meridianbet ambapo hapa utabashiri ni timu gani inaweza kuchukua ubingwa lakini pia mchezaji bora wa michuano hii atoke kwenye hilo Taifa.

Kylian Mbappe kutoka Ufaransa yeye ndiye anayependelewa zaidi kuchukua ubingwa na tuzo ya uchezaji bora akiwa na ODDS 17, Phil Foden Uingereza amepewa ODDS 25, Jude Bellingham ana ODDS 25, Harry Kane ana ODDS 25 pia. Hawa watatu ni kutoka Uingereza.

Antoine Griezmann kutoka Ufaransa ana ODDS 35, Ronaldo kutoka Ureno ana 35, Kevin De Bruyne ana 35, Declan Rice kutoka Uingereza ana 35, Gundogan kutoka Ujerumani ana 35, na Bukayo Saka kutoka Uingereza na ODDS 35. Je wewe unaona ni Taifa gani linaweza kuchukua ubingwa na kutoa mchezaji bora wa michuano hii?. Bashiri sasa.

Si machaguo hayo tuu, ingia meridianbet na uchague EURO SPECIAL 2024 na utaona machaguo mengi kabisa umewekewa ya kubashiri na ujizolee mkwanja mrefu wa maana kabisa.