MWISHO wa ubishi imefahamika nani atakuwa nani kwenye kila idara ambapo Yangamabingwa wa ligi na wanaye mfungaji bora ambaye ni Aziz KI akiwa katupia mabao 21 msimu wa 2023/24.
Simba ngoma imegota mwisho ikiwa nafasi ya tatu huku Geita Gold na Mtibwa Sugar hizi zimeshuka daraja mazima.
Matokeo ya mechi zote ambazo zilikuwa live Azam TV yapo namna hii:-