Kwa wapenzi wa soka, burudani ndio kwanza inaanza, sikukuu inanoga zaidi ukiwa unautizama mkeka wako unavyokuletea faida ndani ya dakika 90. Hii ndio nyumba ya mabingwa, Meridianbet!
Jumapili hii, Manchester City watawaalika Leicester City katika ungwe ya pili ya msimu wa EPL, 2021/22. Safari ya ubingwa inaanza kushika kasi, ni Pep Guardiola vs Brendan Rogers, hakuna kisingizio, timu zote zina idadi ya wachezaji wanaotosha mtanange huu kutoa burudani ya kiwango cha juu. Meridianbet tunaenda pamoja nawe, ifuate Odds ya 1.22 kwa Man City.
Kule nchini Uturuki, Super Lig itaendelea kwa mtanange mkali kati ya Trabzonspor vs Instanbul Basaksehir. Timu hizi zinapambana kuwania ubingwa msimu huu, kila mmoja anahitaji pointi 3 muhimu lakini, mpira ni uwanjani, dakika 90 zitaamua. Odds ya 2.06 imewekwa kwa Trabzonspor kupitia Meridianbet.
Baada ya takribani wiki 2 kupita bila kuingia uwanjani, Manchester United watasafiri kuwafuata Newcastle United jumatatu wiki ijayo. Naam!! Unatoka kufungua zawadi na sasa, unaingia kutengeneza faida ya wiki kuelekea Mwaka Mpya. Ralf Rangnick vs Eddie Howe pale St. James’ Park, ifuate Odds ya 1.47 kwa Man United kunako Meridianbet.
Kwenye Championship, QPR uso kwa uso na Bournemouth. Japokuwa kirusi cha Variant Omicron kinaendelea kuwa tatizo duniani, baadhi ya timu zinaweza kuendelea na michezo yake. Safari ya kucheza EPL msimu ujao, ndio kiburudisho kikubwa kwenye Ligi ya Championship. Fursa yako ipo kwenye Odds ya 2.42 kwa Meridianbet.
Meridianbet – Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!