Al Ahly ya Misri imetinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 3-0 dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo kwenye nusu fainali.
FT: Al Ahly ?? 3-0 ?? TP Mazembe (Agg. 3-0)
⚽ Abdelmonem 68’
⚽ Abou Ali 84’
⚽ Tawfik 90+13’
FT: Mamelodi Sundowns ?? 0-1 ?? Esperance (Agg. 0-2)
⚽ Bouchniba 57’
Al Ahly imeungana na Esperance Tunis kwenye fainali. Mamelodi Sundowns wameondoshwa nje ya michuano na Esperance Tunis.