MIAKA ya 2016 Mwenyekiti wetu Yusuph Manji alifanya kazi kubwa kwa ajili ya kuona kwamba timu inafika mbali, kwa kazi aliyofanya kutokana na matatizo aliyofanya yalifanya kuwe na maafa makubwa ndani ya Yanga kulikuwa na mifumo mingi iliyokuwa inafanyika lakini bado kukawa kuna ugumu kidogo na watu wakawa wanachangia kwenye timu ila haikuwa vizuri kwa kuwa hakukuwa na mfumo, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ameweka wazi hayo