SportsVIDEO: YANGA WASIOGOPE KUHUSU MAMELODI, WANAWEZA Saleh9 months ago01 mins LEGEND kwenye uandishi wa Habari za Michezo Saleh Ally ameweka wazi kuwa Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wanahitaji kufanya maandalizi mazuri na wasiogope kwa kuwa inawezekana na Yanga ni muda wao kujitangaza kimataifa. Post navigation Previous: MAYELE AMPA TANO FEI TOTONext: WATANO HAWA YANGA HATIHATI KIMATAIFA