SportsAFRIKA INATAMBUA YANGA INA REKODI YAKE CAF Saleh9 months ago9 months ago01 mins AFRIKA iatambua kwamba Yanga imeweka rekodi yake katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ambaye kete zake na ushindani wa wachezaji kutimiza majukumu yao kwa umakini yamewafikisha hapo walipo. Post navigation Previous: SIMBA KETE ZAKE ZA MOTO MACHI ZIPO NAMNA HIINext: BINGWA LA JACKPOT LAPATIKANA MERIDIANBET