ARSENAL YAIBAMIZA LIVERPOOL BAO 3-1

Majogoo wamedhalilika ugenini dhidi ya Washika Mitutu kufuatia kipigo cha 3-1 katika dimba la Emirates.

FT: Arsenal 3-1 Liverpool
14’— Saka ⚽
67’— Martinelli ⚽
45+3’— Magalhães (og) ⚽
88’ Konate ?
90+2’ — Trossard ⚽

Arsenal imesogea mpaka alama mbili nyuma ya kinara Liverpool kwenye msimamo wa Ligi Kuu England alama 49 baada ya mechi 23.

Majogoo wanasalia kileleni alama 51 baada ya mechi 23.