LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari wa habari katika masuala ya michezo Jembe ameweka wazi kuwa dunia inabadilika haraka sana huku mafanikio yakiwa kwenye sehemu tofautitofauti akibainisha kuhusu Kibegi kama kiliwasaidiai kuwaongezea kitu inawezekana kuwa sehemu ya mafanikio. Amebainisha kuwa ni muhimu wa kubadili mawazo kwa sasa kwa kuangalia kwambakama ni waati uliopita ama sasa. Kuhusu Jean Baleke na Moses Phiri ameweka wazi kuwa wachezaji walioletwa bado hajawafahamu lakini walioondoka ni wachezaji walikuwa hawatakiwi kupewa nafasi.