Una nafasi kubwa ya kuanza mwaka wako kibingwa na mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet, Kwani kupitia michezo mbalimbali ambayo itapigwa leo wewe mteja wao una nafasi kuufungua mwaka kwa shangwe.
Kunako ligi kuu ya Hispania leo itapigwa michezo kadhaa ambayo imepewa ODDS KUBWA na za kibabe pale Meridianbet, Hivo mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wanaendelea kusambaza upendo na kuhakikisha hauuanzi mwaka kinyonge.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Real Madrid leo wakiwa katika dimba lao la nyumbani Santiago Bernabeu wataikaribisha klabu ya Real Mallorca katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania ambapo pia utashuhudia urejeo wa nyota wake Vinicius Jr aliyekosekana katika michezo kadhaa iliyopita kutokana na majeraha.
Mchezo mwingine utakua kati ya klabu ya Girona wanaokamata nafasi ya pili katika La Liga watakua nyumbani kumenyana na klabu ya klabu ya Atletico Madrid ambao wanashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo.
Klabu ya Celta Vigo ambao wanachechemea kunako ligi kuu nchini Hispania watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Real Betis ambayo ni moja ya timu zinazofanya vizuri, Mchezo unaotarajiwa kua mkali huku timu zote zikipewa ODDS KUBWA.
Klabu ya Granada leo watakua wenyeji wakiwakaribisha klabu ya Cadiz katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania, Mchezo utakua ni vita ya timu zilizoko chini kwenye msimamo kwani Granada wako nafasi ya 19 ambapo Cadiz wakiwa nafasi ya 17hivo mchezo huu utakua wenye ushindani mkubwa.
Michezo mingine ambayo itapigwa leo ambayo itakua fursa ya kupiga mkwanja ni kati ya PSG dhidi ya Tolouse kwenye kombe la Ufaransa, As Roma watakua nyumbani kumenyana na Cremonese katika mchezo wa Coppa Italia, Atalanta nao watakua nyumbani kukipiga na Sassoulo.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia https://a.meridianbet.co.tz/c/QARU7i na uweke mkeka wako.