SAMSUNG A32 KUTOLEWA KWENYE PROMOSHENI YA SIKUKUU YA MERIDIANBET

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet msimu huu wa sikukuu wamejitokeza na Promosheni ya kibabe kabisa ambapo imewaangukia wachezaji wa michezo ya Sloti ambayo ipo ndani ya Kasino ya Mitandaoni.

Promosheni hii kama ilivyoelezwa itakua inahusisha wateja wanaocheza Sloti ambayo ni sehemu ya michezo ya Kasino Mitandaoni, Huku mshindi akijishindia Samsug A32, mshindi wa pili atajishindia Samsung A23, Mshindi wa tatu yeye atawekewa kiasi cha shilingi laki tano ya bonasi kwenye akaunti yake.

 

Cheza michezo ya Kasino mitandaoni kila siku uweze kujishindia zawadi mbalimbali haswa katika kipindi hichi cha sikukuu ambapo Meridianbet wametoa Promosheni mbalimbali ukicheza michezo ya Kasino mitandaoni kama Book of Eksimo, Book of Egypty, Pinata Loca, Piggy Party.

Utaratibu wa kuweka Promosheni kwa wateja wake ili waweze kushinda zawadi mbalimbali imekua jambo la kawaida kwa Meridianbet, Lakini kila wakati wamekua wakija kitofauti na zawadi za tofauti ili kuendelea kuvutia wateja wake.

Mteja wa Meridianbet atapaswa kucheza michezo ifuatayo ili kuweza kushinda katika promosheni hiyo Battle for the Throne, Book of Egypty, Bounty Hunters, Spinning Biddha, The Book of Eksimo na hii ni baadhi ya michezo hiyo ipo mingi zaidi ya hii ambayo itakwenda  kumpa ushindi mteja wa Meridianbet.

Promosheni hii imeanza mwezi huu wa 12 tarehe 20 ambapo itadumu kwa siku kumi na tatu kwani itafika tamati mwezi wa kwanza tarehe 02 mwaka 2024, Hivo wateja wote watatakiwa kuhakikisha wanacheza kwa wingi michezo ya kasino mitandaoni ndani ya siku hizi ili kujinyakulia zawadi.

Promosheni hii ina vigezo na masharti yake kama ilivyo promosheni zingine ambazo zimekua zikiandaliwa na Meridianbet, Kwanza kabisa unapaswa kua na akaunti ya Meridianbet, Mteja anapaswa kushiriki kupitia akaunti moja,Meridianbet inabakia na haki ya sheria za ofa wakati wowote lakini pia ina uwezo wa kusitisha ofa hiyo.

Cheza michezo ya Kasino mitandaoni kila siku uweze kujishindia zawadi mbalimbali haswa katika kipindi hichi cha sikukuu ambapo Meridianbet wametoa Promosheni mbalimbali ukicheza michezo ya Kasino mitandaoni kama Book of Eksimo, Book of Egypty, Pinata Loca, Piggy Party.

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.