Usiku wa deni hua haukawii kukucha waswahili wanasema hivo hatimae siku imekucha Anfield leo kutakua na kazi nzito ambapo mahasimu wakubwa wa soka la Uingereza watacheza ni Liverpool dhidi ya Manchester United.
Majogoo ambao ndio watakua wenyeji wa mchezo huu kwakua watakua nyumbani katika dimba la Anfield katika mchezo huu dume kabisa kuwakaribisha Manchester United ambayo inaonekana kusuasua diku za karibuni.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Manchester United imetoka kutupwa nje kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya tena wakishika mkia kwenye kundi lao, Lakini wana kumbukumbu ya kupoteza mchezo uliomalizika wa ligi kuu ya Uingereza hivo mchezo wa leo unaweza kuendelea kua sehemu ya anguko au wanaweza kutumia mchezo huu kurudi kwenye mstari.
Liverpool wao mchezo wa leo watahitaji kupata matokeo kwa kiwango kikubwa kwani wao ndio vinara wa ligi kuu ya Uingereza, Hivo presha ya kupata matokeo ni kubwa kwani wanajua wazi wakidondosha alama katika mchezo huu kwa kiwango kikubwa Arsenal atarejea kileleni.
Ikumbukwe kua Manchester United haijafanikiwa kushinda mchezo wowote wa ligi kuu ya Uingereza toka mwaka 2015 katika dimba la Anfield, Hivo hii inaendelea kutoa faida kwa wenyeji kuendelea kutawala au rekodi kuweza kuvunjwa vilevile.
Michezo mingine kadhaa leo Jumapili inatarajiwa kupigwa ambapo Arsenal watashuka dimbani wakiwa nyumbani pale Emirates kumenyana na Brighton, nchini Hispania Real Madrid watakipiga na Villarreal katika dimba la Santiago Bernabeu, Pale Italia Lazio watacheza na vinara wa ligi kuu ya Italia klabu ya Inter Milan, Bayern Leverkusen watashuka dimbani kumenyana na Eintracht Frankfurt na michezo yote hii imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet weka mkeka wako ujipigie mkwanja wa kutosha.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.