MANCHESTER CITY MAMBO SIO MAMBO LIGI KUU YA UINGEREZA

Mambo yanaonekana kuwaendeo kombo mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City, Kwani mpaka sasa wamecheza michezo minne ya ligi kuu ya Uingereza hivi karibuni na hawajapata matokeo ya ushindi katika mchezo wowote.

Matokeo ya hivi karibuni ya klabu hiyo ambayo imetawala ligi kuu ya Uingereza kwa miaka saba nyuma hayaleti picha nzuri kwa timu hiyo, Kwani mabingwa hao watetezi wa ulaya hawajakutana na hali hii kwa muda mrefu sana.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Kocha Pep Guardiola ambaye ni kocha wa klabu hiyo licha ya matokeo mabaya wanayopitia hivi karibuni, Lakini kocha huyo ameweka wazi kua bado wana nafasi ya kutetea taji la ligi hiyo kwani anaamini ligi hiyo bado ina safari ndefu.

Manchester City baada ya kutokufanya vizuri hivi karibuni kuna sababu kadhaa zilizochagiza kutokea kwa hali hiyo ni kama majeraha yakiwaandama wachezaji wake muhimu, uchovu wa msimu uliomalizika, Lakini pia wachezaji waliosajiliwa kama mibadala ya walioondoka kushindwa kuonesha makali mpaka sasa.

Manchester City wanapitia kipindi kigumu kwenye michuano ya ligi kuu ya Uingereza lakini haitazuia kuacha kujipigia mikwanja, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kumwaga ODDS KUBWA katika michezo mbalimbali barani ulaya.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.