HABARI ODDS KUBWA, Machaguo Zaidi Ya 1000 Yapo Meridianbet

Mechi ya mwisho leo katika ligi hiyo itahitimishwa na vijana wa Stephano Pioli AC Milan ambao watakuwa nyumbani kwao San Siro kukiwasha dhidi ya Udinese Calcio. Milan hajapata ushindi mechi mbili mfululizo kwenye ligi. 1.42 ndio ODDS yake ya ushindi na mgeni wake kapewa 6.86. Beti sasa mechi hii.

LALIGA itarindima kivyake pia na mechi ya mapema kabisa ni kati ya CA Osasuna dhidi ya Girona huku timu hizi zote ODDS zao zikifungamana yani 2.60 kwa 2.60. Mgeni yupo nafasi ya pili na mwenyeji akiwa nafasi ya 11. Tengeneza jamvi lako na Meridianbet.

RC Celta Vigo atakipiga dhidi ya Sevilla ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 4 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 18 na mgeni wake yupo nafai ya 14. Je nani kushinda mechi hii leo?

Huku mida ya saa 5:00 bingwa mtetezi wa ligi hiyo ya Hispania FC Barcelona baada ya kupoteza mchezo wake uliopita, leo hii atakuwa ugenini dhidi ya Real Sociedad aliyetoka kutoa sare. Xavi anahitaji ushindi huu leo kujiweka vyema kutetea taji hilo tena. Je mwenyeji atamzuia? ODDS KUBWA zipo mechi hii.

Halikadhalika ligi ya Ufaransa, LIGUE 1 itashuhudiwa leo hii kwa mechi mbili ambapo ya kwanza itakuwa ni kati ya FC Lorient dhidi ya RC Lens mwenye ODDS 1.72 kwa 4.60. Mara ya mwisho kukutana kati yao mgeni alishinda mechi hii.

Naye Olympique Marseille atashuka dimbani kwake kukiwasha dhidi ya Lille. Mwenyeji ana ODDS 2.15 kwa 3.23. Tofauti ya pointi kati yao ni 6 tuu. Ingia meridianbet na ubashiri mechi hii.