WASHIKA bunduki wameanza kwa Kasi Ligi Kuu England kwa kukomba pointi tatu.
Ubao wa Uwanja wa Emirates baada ya dakika 90 umesoma Arsenal 2-1 Nottm Forest.
Watupiaji ni Eddie Nketiah dakika ya 26 na Bukayo Saka dakika ya 32.
Bao la Nottm Forest ni mali ya Taiwo Awoniyi dakika ya 82.