SportsVIDEO:KING KIBA NI SIMBA KUPIGA BONGE MOJA YA SHOW SIMBA DAY Saleh1 year ago01 mins KING Kiba ni Simba kupiga bonge moja ya Show Agosti 6 atakuwa mtumbuizaji mkuu kwenye Uwanja wa Mkapa. Ikumbukwe kwamba Kiba amecheza ndani ya Coastal Union huku akiweka wazi kuwa ni kitu cha kuvutia na kumpa matumaini kila mtu. Post navigation Previous: STRAIKA MPYA YANGA ATUMA UJUMBE SIMBA, KRAMO ANA JAMBO NA BALEKENext: YANGA KAZI INAENDELEA, KETE YAO YA KWANZA HII HAPA