KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Adel Amrouche ametangaza kikosi kitakachocheza michezo miwili ya kufuzu Afcon dhidi ya Uganda mechi mbili namna hii:-
Aishi Manula, (Simba)
Beno Kakolanya, (Simba)
Metacha Mnata, (Yanga)
Kibwana Shomari, (Yanga)
Datius Peter, (Kagera Sugar)
Yahya Mbegu, (Ihefu)
David Luhende, (Kagera Sugar)
Dickson Job, (Yanga)
Bakari Mwamnyeto, (Yanga)
Abdallah Mfuko, (Kagera Sugar)
Ibrahim Bacca, (Yanga)
Mudhathir Yahya, (Yanga)
Sospeter Bajana, (Azam FC)
Mzamiru Yassin, (Simba)
Yusuph Kagoma, (Singida Big Stars)
Ramadhan Makame, (Bodrumspor-Uturuki)
Abdul Suleiman, (Azam FC)
Edmund John, (Geita Gold)
Feisal Salum, (Yanga)
Khalid Khabibu, (KMKM FC)
Anuary Jabir, (Kagera Sugar)
Simon Msuva, (Al-Quadsiah-Saud Arabia)
Mbwana Samatta, (KRC-Genk- Ubelgiji)
Novatus Dismas, (Zulte Waregem_Ubelgiji)
Alphonce Mabuta, (FK Spartak Subotica-Serbia)
Kelvin John, (KRC Genk ya Uelgiji)
Ben Starkie, (Bastford United ya Uingereza)
Haji Mnoga, (Aldershot Town ya Uingereza)
Ally Msengi, (Swallows ya Afrika Kusini)
Himid Mao, (Ghazi El Mahalla-Misri)
Said Khamis, (Al-Fujairah-UAE)