HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe, Uwanja wa Mkapa
Diarra
Djuma Shaban
Joyce Lomalisa
Bakari Mwamnyeto
Dickson Job
Khalid Aucho
Jesus Moloko
Yannick Bangala
Fiston Mayele
Mudhathir Yahya
Kennedy Musonda
Akiba
Metacha
Bacca
Kibwana
Mauya
Sure Boy
Farid
Kisinda
Aziz KI
Clement Mzize