AZAM FC inayonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala, ina kibarua cha kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hila.
Mchezo huo wa kimataufa unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex.
Timu hiyo kwa sasa imeweka kambi Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi zake za kimataifa.