SportsSIMBA YATINGA 26 BORA MBELE YA COASTAL UNION Saleh3 years ago01 mins MIKATO yake anayotembeza kimyakimya ndani ya uwanja leo Sadio Kanoute kaihamishia kwa mlinda mlango wa Coastal Union. Ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 1-0 Coastal Union dakika ya 56 akiwa nje ya 18 na kuwanyanyua mashabiki wa Simba kwenye mchezo huo. Coastal Union walicheza kwa kujilinda muda mwingi jambo lililowapa ugumu Simba iliyomtumia Jean Baleke kupata tabu kushinda kwenye mchezo huo. Kwenye mchezo huo Manzoki alikuwa shuhuda namna Simba ilivyokuwa inapata tabu kupenya mbele ya Coastal Union. Post navigation Previous: KMC YATINGA 16 BORA KOMBE LA SHIRIKISHONext: KUMUONA MAYELE, FARID MUSSA NI BUKU TANO
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura Je Fainali ya Kombe la Dunia 2026 Itakuwa Brazil vs Hispania? Saleh1 day ago 0