KWENYE kikosi cha Dodoma Jiji ambacho kinatarajiwa kumenyana na Simba mchezo wa Ligi Kuu Bara nyota Hassan Kessy ameanza benchi.
Hiki hapa kikosi cha kwanza:-
Danny Mgore
Fadhil
Ngalema
Augustino
Justine
Nkosi
Mwana
Muhsin
Opare
Mwaterema
Martin
Akiba
Kalambo
Kibacha
Adeyum
Kessy
Mgalula
Kyata
Raizin
Zidane
Karihe