Skip to content
Sunday, June 14, 2026
  • New York Knicks Watwaa Ubingwa wa NBA Baada ya Kusubiri Zaidi ya Miaka 50
  • Moto wa Kombe la Dunia Waendelea, Vigogo Watatu Kushuka Dimbani
  • Australia Yaanza Kwa Kishindo Kombe la Dunia kwa Kuifunga Uturuki 2-0
  • Morocco Yaizuia Brazil ya Ancelotti, Watoka Sare ya 1-1 Kombe la Dunia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports

  • 2023
  • January
  • 15
  • ARSENAL HAWAZUILIKI
  • Sports

ARSENAL HAWAZUILIKI

Saleh3 years ago01 mins

ARSENAL hii ya Mikel Arteta ukigoma kufungwa unajifu ga mwenyewe kisha wanakufunga.

Imekuwa hivyo ugenini baada ya dakika 90 ubao umesoma Tottenham 0-2 Arsenal.

Ni bao la Hugo LIoris dakika ya 14 alijifunga na Martin Odegaard dakika ya 36.

Arsenal inafikisha pointi 47 ikiwa inaongoza ligi huku Tottenham ikiwa nafasi ya 5 na pointi 33.

Post navigation

Previous: MZEE WA KUWAJAZA APEWA MKONO WA ASANTE JANGWANI
Next: MUSONDA AANZA MATIZI YANGA

Related News

New York Knicks Watwaa Ubingwa wa NBA Baada ya Kusubiri Zaidi ya Miaka 50

Saleh2 hours ago 0

Moto wa Kombe la Dunia Waendelea, Vigogo Watatu Kushuka Dimbani

Saleh5 hours ago 0

Australia Yaanza Kwa Kishindo Kombe la Dunia kwa Kuifunga Uturuki 2-0

Saleh5 hours ago 0

Morocco Yaizuia Brazil ya Ancelotti, Watoka Sare ya 1-1 Kombe la Dunia

Saleh10 hours ago4 hours ago 0
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.