SportsVIDEO:SHABIKI SIMBA AWAZUNGUMZIA INONGA,BANGALA,MZUNGU Saleh2 years ago01 mins SIMBA imenyooshwa bao 1-0 dhidi ya Arta Solar kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru,shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa kila mchezaji anatimiza majukumu ikiwa ni pamoja na Henock Inonga kwenye timu hiyo Post navigation Previous: TAIFA STARS YAFUNGASHIWA VIRAGO CHANNext: ORODHA YA MASTAA KUTOKA DR CONGO YATAWALA BONGO