Yanga Yatuma Ujumbe Mzito Kwa MC Alger, Yasema “Tunabonda Huku Tunanyonga”
Klabu ya Yanga imetuma ujumbe wa hamasa kuelekea mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger ya Algeria, ikitumia kauli mbiu isemayo “Tunabonda Huku Tunanyonga” kuelezea dhamira yake ya kufanya vizuri katika michuano hiyo. Kupitia bango la mchezo huo lililowekwa katika muonekano wa kijani na njano,…