Pocchettino Arejea EPL, Safari Yake na Man United Yaanza Kwa Presha
Macho yote sasa pale Old Trafford yapo kwa kocha mpya wa United Pochettino ambaye amepewa kazi ya kuinoa timu. Mechi mbili za kwanza ataondoka na ushindi? Michael Carrick ameiacha Man United ikiwa nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi, yaani nafasi ya 3 kutoka chini kwenye kushuka daraja baada ya kucheza mechi 10 hadi sasa…