Pochettino kuanza ukurasa mpya Manchester United baada ya majukumu ya Marekani
MANCHESTER, ENGLAND: Mauricio Pochettino anatarajiwa kuendelea kuiongoza timu ya taifa ya Marekani katika michezo yake miwili ijayo dhidi ya Haiti, licha ya kuhusishwa na nafasi ya ukocha mkuu wa klabu ya Manchester United. Kwa mujibu wa taarifa za Sky Sports News, Manchester United haina pingamizi na uwezekano huo, huku mazungumzo kati ya klabu hiyo na…