Machozi Yamwagika! Nyota wa Soka Jesús De Miguel Azikwa
Familia, marafiki, wachezaji wenzake na viongozi mbalimbali wa soka nchini Hispania wamekusanyika Alhamisi, Novemba 5, 2026, katika mazishi ya mshambuliaji wa klabu ya CD Tenerife, Jesús de Miguel, aliyefariki dunia baada ya kupata matatizo ya moyo kufuatia kugongana na kipa wa FC Andorra, Jesús Owono, wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la Pili nchini humo….