Carrick Aishangaza Dunia, Asema Anaisubiri kwa Hamasa Mechi Dhidi ya Roma

Kocha wa Manchester United, Michael Carrick, amesema licha ya matokeo mabaya ambayo timu yake imekuwa ikiyapata, anaisubiri kwa hamu mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya AS Roma itakayochezwa Jumanne katika Uwanja wa Old Trafford. Manchester United inaingia kwenye mchezo huo ikiwa haijapata ushindi katika mechi tisa mfululizo kwenye mashindano yote, rekodi mbaya zaidi…

Read More

Ronaldo Aongoza Dunia Kwa Mapato, Messi Na Benzema Wamfuata Kwenye Orodha Ya Wanamichezo Wanaolipwa Pesa Nyingi Zaidi

Mwanasoka wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameendelea kutawala ulimwengu wa michezo kwa upande wa mapato, akiongoza orodha ya wanamichezo wanaoingiza fedha nyingi zaidi duniani kwa mwaka 2026, kwa mujibu wa takwimu za jarida la Forbes. Ronaldo, anayeichezea klabu ya Al-Nassr ya Saudi Arabia, anakadiriwa kuingiza dola milioni 300 kwa mwaka, sawa na takribani Shilingi…

Read More

Fazi Spin Mania Yaongeza Msisimko Meridianbet, TZS Milioni 4 Zasubiri Washindi

Safari ya kutafuta ushindi imeanza. Meridianbet imeleta Fazi Spin Mania, mashindano maalum yanayokupa nafasi ya kushindania sehemu ya zawadi nono ya TZS 4,000,000. Kuanzia leo hadi 13 Novemba 2026, ni muda wa kuingia kasino mtandaoni na kuonyesha ubabe wako kwenye sloti za  Fazi. Kila dau linalokidhi vigezo linakupeleka hatua moja zaidi kuelekea kileleni. Kadri unavyocheza,…

Read More