Rasmi: Caf Yarejesha Mfumo Wa Afcon Kuchezwa Kila Baada Ya Miaka Miwili
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeamua kurejesha mfumo wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kufanyika kila baada ya miaka miwili, baada ya Kamati yake ya Utendaji kufikia uamuzi huo kufuatia mapitio ya mfumo wa ratiba ya michuano hiyo. Uamuzi huo unafuatia mjadala kuhusu mabadiliko yaliyokuwa yamependekezwa awali ya kuifanya AFCON kufanyika kila…