Video: Azim Dewji, Mziwanda Wamchana Doumbia Kwa Kupoteza Nafasi

Mfanyabiashara maarufu na shabiki kindakindaki wa Klabu ya Simba, Azim Dewji, amezungumzia mwenendo wa mshambuliaji wa timu hiyo, Ibrahim Doumbia, ambaye ameendelea kukabiliwa na changamoto ya kutumia vizuri nafasi za kufunga mabao. Doumbia, ambaye leo amepewa heshima kubwa na klabu hiyo, bado amekuwa akikosolewa kutokana na kushindwa kutumia baadhi ya nafasi za wazi anazozipata, hali…

Read More