Meridianbet Yashirikiana Na Uongozi Wa Mbezi Juu Kuimarisha Usafi Wa Mazingira

Mabadiliko chanya katika jamii huanza pale watu na taasisi wanapoamua kushirikiana kutafuta suluhisho la changamoto zinazowakabili. Meridianbet imeendelea kuonesha dhamira hiyo kwa kukabidhi vifaa vya usafi wa mazingira kwa Mama Lishe na Baba Lishe wa Kata ya Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam. Kupitia mpango wake wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR), kampuni hiyo ya ubashiri…

Read More