Hizi Hapa Sababu za Yamal Kubeba Ballon d’Or

Meridianbet leo tumekuandalia sababu kadha wa kadha zinazomfanya Lamine Yamal kuwa na nafasi kubwa ya kuondoka na tuzo ya mchezaji bora Duniani yaani Ballon d’Or. Zipo sababu nyingi zinazomfanya Lamine kuwa mchezaji wa kipekee kutokana na namna anavyoweza kubadilisha mchezo akiwa na mpira mguuni. Ana uwezo wa kumkabili beki mmoja dhidi ya mmoja, kuingia ndani…

Read More