Droo Ya UEFA Yatoa Mapambano Makali, Barca, Man United Na Atletico Zapata Wapinzani Wazito
MONACO : Droo ya hatua ya Ligi ya mabingwa (league phase ya UEFA Champions League) msimu wa 2026/27 imefanyika usiku wa kuamkia leo Agosti 28, 2026 mjini Monaco, huku timu 36 zikijua wapinzani wao katika hatua hiyo ya mashindano. Kwa mujibu wa mfumo mpya wa mashindano hayo, kila timu itacheza jumla ya mechi nane dhidi…