Depú Arejea Petro de Luanda kwa Dau la TSh Bilioni 1.3!

Petro de Luanda 🇦🇴 imetangaza rasmi kumsajili tena mshambuliaji wa Kimataifa wa Angola, Laurindo Dilson Maria Aurélio ‘Depú’, kutoka Young Africans SC 🇹🇿, kuelekea msimu wa 2026/27. Uhamisho huo umegharimu USD 500,000, sawa na takribani TSh bilioni 1.3. 💰 Kupitia taarifa yao, Petro de Luanda wamemkaribisha Depú kwa kusema: “Ameirejea katika sehemu ambayo anakuwa mwenye…

Read More