Simba SC vs Singida Black Stars NBC Premier League
Simba SC vs Singida Black Stars NBC Premier League ni mchezo unaofuata kwenye ratiba ya NBC Premier League, Juni 27, 2026 ukiwa ni mzunguko wa pili. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Meja Jenerali Isahmuyo kwa wababe hawa kusaka pointi 3 muhimu ndani ya dakika 90. Ni mchezo unaotoa taswira ya bingwa kupatikana mapema ama…