Nani Atabeba Kombe la Dunia 2026? Vita ya Mabara Yazidi
Pilika pilika za michuano ya Kombe la Dunia zinazidi kunoga huku tayari mabara yote yamejiandaa kufanya vyema. Bingwa mtetezi anataka kutetea taji lake. Je Bara lipi litapokea kijiti hicho?. America ya Kaskazini ipo nafasi ya 3 kwenye mabara ambayo ynaweza kushinda kombe hilila Dunia. Nchi ambazo zipo kwenye bara hili ni pamoja na Marekani, Canada,…