Cagliari Wapambana Kuepuka Kushuka Daraja Serie A, Kucheza na Atalanta
Mechi ya leo kati ya Cagliari na Atalanta itakuwa ya matokeo makubwa kwa timu zote mbili kwenye misimamo tofauti. Atalanta wapo nafasi ya 7 wakiwa na pointi 54 wanazitaka kwa ajili ya kuwania Kombe la Ulaya, Huku Cagliari wakiwa katika nafasi ya 16 karibu na eneo la kushuka daraja wakiwa na pointi 33 tu ….