Skip to content
Monday, July 27, 2026
  • Joshua Aibuka Shujaa, Amwangusha Prenga Baada ya Kuanza Vibaya
  • Cheza Ushinde! Meridianbet Yatoa Simu 3 za Samsung Galaxy A26 Kwa Washindi
  • Meridianbet Yaleta Mpya Kwa Kuidhamini UFC Fight Night Belgrade
  • Haaland, Guardiola na Maldini Washuhudia Harusi ya Donnarumma Italia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Joshua Aibuka Shujaa, Amwangusha Prenga Baada ya Kuanza Vibaya
  • Cheza Ushinde! Meridianbet Yatoa Simu 3 za Samsung Galaxy A26 Kwa Washindi
  • Meridianbet Yaleta Mpya Kwa Kuidhamini UFC Fight Night Belgrade
  • Haaland, Guardiola na Maldini Washuhudia Harusi ya Donnarumma Italia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • April
  • 13

April 13, 2026

  • International
  • Sports

Presha ya Kushuka Daraja Yazidi: Leeds Wakutana na Hasira ya Man United

Saleh3 months ago02 mins

Leo tarehe 13 Aprili saa 21:45, Uwanja wa Artemio Franchi mjini Firenze utakuwa mwenyeji wa pambano la Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kati ya Fiorentina na Lazio. Mechi hii ni ya msingi kwa timu zote mbili kutokana na malengo tofauti. Lazio inayofundishwa na Maurizio Sarri inatafuta kuimarisha nafasi yake ya kuwania Michuano ya Ulaya,…

Read More
  • International
  • Sports

Nusu Fainali CAFCL: Sundowns Wailaza Esperance Nchini Tunisia

Saleh3 months ago01 mins

Klabu ya Mamelodi Sundowns imepiga hatua kubwa kuelekea fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 1-0 dhidi ya Espérance Sportive de Tunis katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa nchini Tunisia. Katika dimba la Stade Olympique Hammadi Agrebi, Sundowns walionyesha ubora wao kwa kupata bao pekee la ushindi dakika ya…

Read More
  • Entertainment

Pambana na Mazombi Ukiwa Na Matumaini Ya Kuendelea Mchezoni

Saleh3 months ago3 months ago02 mins

Andaa silaha zako kwa umakini kwani wakati wa vita umewadia. Uwanja wa mapigano upo tayari kukupokea shujaa kuja kuutetea ulimwengu wa ubashiri dhidi ya mashambulizi ya mazombi kipindi hiki cha anguko. Zombie Apocalypse ndani ya Meridianbet ni Zaidi ya vita, ni nafasi ya kuutetea ulimwengu huu uliosalia na kujipatia malipo ya ushindi mnono. Meridianbet kwa…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.