Mechi 5 zijazo Yanga SC NBC Premier League

MABINGWA watetezi wa NBC Premier League wapo nafasi ya kwanza wakiwa na pointi 38 baada ya mechi 16.

Ratiba inaonyesha kuwa mchezo ujao kwa Yanga SC watakuwa nyumbani dhidi ya Wajelajela ambao wanapambania kubaki ndani ya ligi wakiwa nafasi ya 15.

Hizi hapa mechi tano zijazo kwa Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves: –

Yanga SC vs Tanzania Prisons, Aprili 4,2026
Pamba Jiji FC vs Yanga SC, Aprili 8,2026
Yanga SC vs Mbeya City, Aprili 16,2026
KMC Fc vs Yanga SC, Aprili 16,2026
Yanga SC vs Coastal Union, Aprili 30,2026

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.