FT: Mtibwa Sugar 1-1 Yanga SC NBC Premier League
Mtibwa Sugar 1-1 Yanga SC NBC Premier League, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma matokeo ya dakika 90 za mchezo. Katika mchezo wa leo Machi 21,2026 wenyeji wamesawazisha kipindi cha pili baada ya kuruhusu goli mapema kipindi cha kwanza ndani ya dakika 25. Yanga SC walianza kufunga goli la ufunguzi dakika ya 23 ya mchezo kupitia kwa…