Skip to content
Monday, March 16, 2026
  • United, Liverpool na Milan Wote Wanacheza Leo – Nani Ataibuka Mbabe?
  • Mwalimu wa Kiingereza wa Mastaa wa Bongo Fleva, Allen Ngonyani Afariki Dunia
  • West Ham Washikilia Man City, Mbio za Ubingwa Zazidi Kupamba Moto
  • Jinyakulie Samsung A26 Mpya kwa Kucheza Super Heli

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • United, Liverpool na Milan Wote Wanacheza Leo – Nani Ataibuka Mbabe?
  • Mwalimu wa Kiingereza wa Mastaa wa Bongo Fleva, Allen Ngonyani Afariki Dunia
  • West Ham Washikilia Man City, Mbio za Ubingwa Zazidi Kupamba Moto
  • Jinyakulie Samsung A26 Mpya kwa Kucheza Super Heli

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • March
  • 14

March 14, 2026

  • Sports

TRA United vs Simba SC yaahirishwa, sababu hii hapa

Saleh2 days ago2 days ago01 mins

MECHI ya TRA United vs Simba SC iliyotarajiwa kuchezwa leo Machi 14,2026 imeahirishwa kutokana na Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kujaa maji. Kwa mujibu wa Kamishna wa mchezo kati ya TRA United vs Simba SC mechi namba namba 7, Mussa Nyamandege amebainisha kuwa pande zote mbili zimeridhia maamuzi hayo. “Kutokana na sheria namba 1 kutokubalika…

Read More
  • Sports

TRA United vs Simba SC kikosi kazi cha wenyeji, Mzamiru Out

Saleh2 days ago01 mins

TRA United vs Simba SC kikosi kazi cha wenyeji, Mzamiru Yassin kiungo wa wakusanya mapato Out kutokana na makubaliano ya mkataba wa timu hizo mbili. Mzamiru yupo ndani ya TRA Unted kwa mkopo yeye ni mali ya Simba SC ambao ni wageni mchezo wa leo Machi 14 2026. Hiki hapa kikosi cha TRA United Jean…

Read More
  • Sports

Kikosi cha Simba SC kitakachoanza vs TRA United, Mpanzu benchi

Saleh2 days ago01 mins

TRA United vs Simba SC ni leo Machi 14,2026 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, saa 10:00 jioni. Hiki hapa kikosi cha Simba SC ambacho kinatarajiwa kuanza huku Ellie Mpanzu akianzia benchi Mohamed Kassali Mabeki  Mabeki ni Shomari Kapombe, Rushine De Reuck, Nickson Kibabage na Ismael Toure. Viungo Inno Loemba, Allasane Kante,Libasse Gueye, Anicent Oura, Yusuph…

Read More
  • Sports

Ibenge, Atoa Malalamiko kwa TFF Kuhusu Ratiba na Viwanja vya Mechi

Saleh2 days ago01 mins

Kocha mkuu wa Azam FC, F. Ibenge, ametoa malalamiko rasmi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), akiwataka watende haki kwa timu zote na kuhakikisha usawa katika kupanga ratiba na viwanja vya mechi. Ibenge amesisitiza kwamba hakuona sababu ya mchezo wao dhidi ya Yanga SC uhamishiwe kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, ilhali ratiba ya…

Read More
  • Entertainment

Kiungo wa Real Madrid Afumania Mke Wake Akiongea na Mwingine

Saleh2 days ago2 days ago01 mins

Kiungo wa Real Madrid C.F., Aurelien Tchouaméni, amepata mshtuko mkubwa katika maisha yake ya kibinafsi baada ya kumkuta mke wake akizungumza na mwanamume mwingine, licha ya kumpa posho ya kila wiki ya £25,000 (takriban Tshs 86 milioni) na kumnunulia nyumba huko Fuenlabrada, Spain . Hali hii imechukua msongo wa mawazo mkubwa kwa kiungo huyo, kiasi…

Read More
  • Sports

TRA United Wanasubiri Simba SC Katika Mchezo wa Kusisimua Leo

Saleh2 days ago01 mins

Ligi Kuu ya Soka ya NBC Tanzania bara inaendelea leo, Machi 14, 2026, kwa mechi moja ya kusisimua ambapo Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, watakuwa ugenini kukabiliana na Wakusanya Kodi, TRA United. Mchezo huu utachezwa katika Sheikh Amri Abeid Memorial Stadium, Kaloleni, Jijini Arusha kuanzia saa 4:00 jioni. Simba SC wanakuja kwenye mchezo huu wakiwa…

Read More
  • International
  • Sports

Leo Epl Kitawaka! Arsenal, Chelsea Na West Ham Watatoboa, Ratiba Ipo Hapa Laliga, Bundesliga

Saleh2 days ago03 mins

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa. Ligi kuu ya Hispania, LALIGA nayo kama kawaida kitawaka Girona atakuwa mwenyeji wa Athletic Bilbao huku takwimu zikionesha kuwa tofauti ya pointi kati yao hadi sasa…

Read More
  • Sports

Meridianbet Washerehesha Neema Za Ramadhani kwa Kugusa Maisha ya Familia

Saleh2 days ago2 days ago02 mins

Katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani, Meridianbet imeonyesha upendo na kujali jamii kwa kutoa msaada wa vyakula na mahitaji muhimu kwa familia zenye uhitaji jijini Dar es Salaam. Hatua hii imeleta mwanga wa matumaini kwa kaya nyingi, ikihakikisha kuwa familia zinaweza kushiriki ibada na futari za Ramadhani bila upungufu wa mahitaji ya msingi….

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.