Singida Black Stars vs Simba SC

Singida Black Stars vs Simba SC ni mchezo unaofuata kwenye ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa wababe hawa wawili. Jumatano ya wiki hii wababe hawa wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Airtel kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Singida Black Stars mchezo wake uliopita kwenye ligi ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Yanga SC wakiwa…

Read More