Wikiendi hii, mashabiki wa soka watapata burudani ya hali ya juu kutoka Premier League huku vigogo wakikutana katika michezo ya kusisimua.
Ratiba ya mechi ni kama ifuatavyo:
📅 Jumamosi, February 28
⚽ Liverpool vs West Ham United
🕛 Saa 12:00 Jioni
⚽ Leeds United vs Manchester City
🕝 Saa 2:30 Usiku
📅 Jumapili, March 1
⚽ Manchester United vs Crystal Palace
🕚 Saa 11:00 Jioni
⚽ Arsenal vs Chelsea
🕜 Saa 1:30 Usiku
🔥 Usikose burudani ya soka la kiwango cha juu wikiendi hii!