Juventus Yaaga Ulaya kwa Maumivu, Galatasaray Yatinga 16 Bora kwa Jumla ya 7-5

Hatimaye safari ya Juventus katika Ligi ya Mabingwa Ulaya imefikia tamati baada ya kusukumizwa nje na Galatasaray kufuatia kipigo cha jumla cha mabao 7-5 katika michezo ya mchujo. Pambano hilo lililochezwa kwa presha kubwa na kuamuliwa katika dakika za nyongeza, liliacha mashabiki wa Turin wakiwa wamevunjika moyo huku Waturuki wakishangilia ushindi wa kihistoria. Juventus 3-2…

Read More

Real Madrid, PSG na Atalanta Zatinga 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, Juventus OUT

Usiku wa kuamkia leo Februari 26, 2026 michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya umeshuhudia vigogo kadhaa wakifuzu hatua ya 16 bora baada ya michezo ya mchujo (playoffs), huku pambano la Juventus dhidi ya Galatasaray likiendelea kuandika historia kwa kuelekea dakika 30 za nyongeza kufuatia sare ya jumla. Real Madrid waliendeleza rekodi yao ya kuwa mabingwa…

Read More

Meridianbet Yaipeleka Kasino Mtandaoni Kwenye Ubunifu Wa Kimataifa

Meridianbet imechukua nafasi ya uongozi kwa kuwekeza katika ubunifu na teknolojia ya hali ya juu. Kwa kuwaleta pamoja wabunifu wakubwa wa michezo duniani, jukwaa hili linaimarisha hadhi yake kama chaguo la kwanza kwa wachezaji wanaotaka uzoefu wa kisasa, salama na wenye msisimko wa kipekee. Kupitia ushirikiano na Aspect Gaming, Meridianbet imepanua mkusanyiko wake wa sloti…

Read More

Dodoma Jiji FC 0-0 Simba SC rekodi mpya yaandikwa

Dodoma Jiji FC 0-0 Simba SC rekodi mpya yaandikwa mara baada ya mchezo kukamilika Februari 25,2026 katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Rekodi hiyo ni kuwa mchezo wa kwanza kukamilika bila kupatikana goli ndani ya dakika 90 kwa wapinzani hawa wanapokutana. Kwenye mechi 10 zilizopita wababe hawa walipokutana magoli yalikuwa yanafungwa na mchezo wa mwisho walipokutana…

Read More